Website ya 50 Cent yaipost video ya Diamond Platnumz na Ne-Yo
Tovuti ya thisis50.com
ilianzishwa na idara mpya ya habari iliyo chini ya Rapper maarufu wa Marekani 50
Cent
mwaka 2007 kwa lengo la kuendeleza na kusambaza habari za utamaduni wa pop na hiphop.
Leo Mwimbaji Mtanzania Diamond Platnumz ameingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza
Mtanzania video yake kuwekwa kwenye tovuti hiyo kupitia single yake mpya aliyomshirikisha Mmarekani
Ne-Yo ‘marry you”
“Angalia video mpya ya Mtanzania mshindi wa Tuzo, Diamond Platnumz “Marry You” akishirikiana na Ne-Yo”
VIDEO: Show ya Diamond Platnumz iliyovunja rekodi Marekani, itazame kwenye hii video hapa chini

Tovuti hiyo iliwaambia watembeleaji waitazame video mpya ya Diamond kwa kuandika >>>
“Check out Tanzanian award winner, Diamond Platnumz new video, ” Marry You” featuring Ne-Yo”

No comments