Video: Mcheki dogo huyu akiimba kwa ufundi Muziki ya Darassa
Darassa ameufunga mwaka 2016 na kuingia mwaka 2017 kwa kishindo. Muziki 
bado unaendelea kuwa wimbo wa taifa. Wimbo huo unapendwa na kila mtu, 
kuanzia vijana, watoto, wazee, wanaume na wanawake. Mcheki dogo huyu 
aitwaye Chris ambaye amekuwa kivutio Instagram akirap wimbo huo na 
Darassa.
  Video: Mcheki dogo huyu akiimba kwa ufundi Muziki ya Darassa

No comments