Huu
ni wimbo wa ziada kutoka kwenye albamu ya Truba inayokwenda kwa jina la
MWALUSAMBA itakayokuwa mtaani mwezi wa kwanza mwaka 2017. wimbo huu una
lengo la kuwarudisha kwenye mstari wasanii walio nje ya misingi ya
utamaduni wa HIP HOP na kutoa mwongozo wa jinsi muziki wa HIP HOP
unavyotakiwa kufanywa. Wimbo huu ni utangulizi wa wimbo utakaotoka mwezi
wa kwanza nilioshirikiana ya msanii YOUNG KILLER pamoja LAYLA toka THT.
KAULI MBIU YETU. #RUDI KUNDINI# WE OWN GAME.
New AUDIO | Truba - Mahakama Ya Mwanzo | Download
Reviewed by Unknown
on
2:51 PM
Rating: 5
No comments